Ibraah

Ibraah смотреть последние обновления за сегодня на .

Ibraah - Sitosema (Official Music Video)

1617764
32840
2155
00:04:33
27.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Sitosema #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Sielewi (Official Music Video)

318668
16765
1442
00:03:19
03.11.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Sielewi #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Maumivu (Official Music Video)

492644
18031
1585
00:03:49
08.09.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Maumivu #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811

5730317
51746
6590
00:03:30
01.10.2020

Ibraah - Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811 #Nitachelewa is a Swahil words from tanzanian language, in English Means he will be late. In this song Ibraah Tell us how much he has been hurted by his truly girlfriend and he doesn't think if the pain will be recovered. this is why he called his song #Nitachelewa. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Producer: B Boy Beats Director: Ivan The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. Lyrics Aaah uuh ooh oh, ooh chinga Ah ah aaaah ah Aaah uuh ooh oh, ah ah ah Yeah sijui hata nifanyeje Sijui hata nifanye nini me Maana hata siamini Hmn no ho Nilikula kiapo nikungoje Ila bado haiingi akilini Maana nishakula ya mini yawe Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo Ngoja ngoja inaniumiza tumbo Masikini umeshafata mkumbo, Yaani umesepa Umeziacha zimejaza na rundoo Na una ponda yangu fupi myundo Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo Ndio chanzo umeniteka, aah Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (Nitachelewaa) Oh oh (kupona Nitachelewa) Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa) Hmm Hmm (kupona Nitachelewa) Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa) Yeah (kupona Nitachelewa) Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa) Oh no (kupona Nitachelewa) Nitachelewa mama Ah ah aah, hmmm yeah oh oh oh, yeah Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma Hasa nikikumba zako methali na nahau Japo unanionyesha dharau Moyo hautaki komaa, kukoma Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau Oh maana vita penzi lako ntapigana Nikiamini utarudi we changama Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu (Wanaogombana) Siku zote ndio wananopatana Ama unapenda mi ninavolalama Sijui nilipokosa ujue Na malengo ujue Mimi najua wewe langu fungu Na naimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nlitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (Nitachelewaa) Oh oh (kupona Nitachelewa) Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa) Hmm Hmm (kupona Nitachelewa) Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa) Yeah (kupona Nitachelewa) Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa) Oh no (kupona Nitachelewa) Nitachelewa mama Chinga, Konde music world wide Yeah yeah yeah yeah yeah #Ibraah #Nitachelewa #Kondegang

Ibraah - Jipinde (Official Music Video)

5416179
63758
10293
00:02:41
18.08.2021

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 Lyrics: Ye aah chinga aaah Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani we my sweet my hani bani nimependa kweli sio ku having fun ouwoo o oooh darling darling sweet sweet ile mida flani ndani tukwichi kwichi pendo limesha noma na twitt twitt haujaniova saizi yani fits fiti weee jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo jipinde Aawe aaye awee baby jipinde awee aaye aawe baby jipinde no no no olea houwo wowo eeeh njoo nikupe kipande cha muwa awe na ninavyo kupenda siunajuwa awe vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata kama nyonga teuwa awe mafuta nikupakaze kwa zako nywele hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate kwenye pete ninase nikupe yote sipimi na tuimbe doli doli doli kwa yako migandisho Maa kama mudoli doli doli doli maana mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh darling darling sweet sweet ile mida flani ndani tukwichi kwichi pendo limeshanoga na twitt twit haujaniova saizi yani fiti fiti wee jipinde kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo jipinde kama unaji kunja mama una chutama kama unakuja kidogo jipinde Aawe aaye awee baby jipinde awee aaye aawe baby jipinde #Ibraah #Jipinde #KondeMusic

Ibraah - Rara (Official Music Video)

2646221
43256
4615
00:03:30
01.04.2022

Rara is a love song in this song Ibraah praises the beauty of the woman he loves and also promises something good for her! Download/Streams In All Digital Platforms The song was produced by The True Name Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Rara #KondeMusic

Ibraah ft. Harmonize - One Night Stand (Official Music Video)Sms SKIZA 5430239 to 811

17149937
112396
10924
00:04:45
12.05.2020

Available In All Digital Platforms Subscribe for more official content from Harmonize: 🤍 Connect with Ibraah on 🤍 🤍 🤍 Follow Harmonize Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 TikTok: 🤍 Listen to Harmonize YouTube: 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Harmonizemanagement🤍gmail.com Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762 #Harmonize #OneNightStand #Ibraah

Harmonize ft Ibraah - Mdomo (Official Music Video)

6212538
78722
8344
00:03:27
12.04.2022

High School After his fans named him the teacher of East African music “Teacher Konde”, Harmonize is presented as a Teacher on his second album, High School. The album songs is his school subjects where he sings about life experiences including love, forgiveness, inspiration etc. While he keeps his unique emotional East-African melodies, he continues to include more and more of the English language in his songs, as well as featuring artists like Naira Marley, Sarkodie, Busiswaah, Ibraah, Anjella & Sholo Mwamba. Harmonize - High School Stream/Download: 🤍 Subscribe for more official content from Harmonize: 🤍 Follow Harmonize Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 TikTok: 🤍 Listen to Harmonize YouTube: 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Harmonizemanagement🤍gmail.com Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762 #Harmonize #Mdomo #Ibraah

Mr Blue Ft Ibraah & Baddest 47 - Baby Boo

91761
4790
514
00:03:35
17.11.2022

Ibraah - Nimpende (Official Music Video)

3031519
38721
3579
00:03:45
03.02.2021

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Nimpende #Kondegang

Killy Ft. Ibraah - Kiuno (Official Music Video)

1019234
23749
2294
00:03:30
23.07.2022

Track No. 3 From The GreenLight Ep Download/Stream In All Digital Platforms 🤍 Song was produced by Yogo Beats Follow Killy Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Killy YouTube: 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Killymanagement3🤍gmail.com Call: +255 658 747 424 #Killy #Kiuno #Ibraah #GreenLight

Ibraah - Nimekubali (Official Music Video) Sms SKIZA 5430239 to 811

2376196
29596
2773
00:03:55
13.04.2020

#Ibraah #Nimekubali #KondeGang LYRICS Kapipo on the beat, hey eeeh Ooh nanana, ooh mamama Maulana mmmh (Kapipo) Kapu limeshajaa Mapitilizo maudhi yamezidi Moyo wangu uko mbali nawe Soko la karafuu umeuza dagaa Na ule utamu umeugawia kijiji Umenipa donda la roho Isipagawe Mungu amenipa ufahamu Natambua lipi chema na baya Usizuge kwa tabasamu Kumbe huna lako moyoni Na nishazoea mila Kikwetu kusema sema ni roho mbaya Ningalikuwa na uwezo Mwanzo ningekuficha mfukoni Ulinidanganya kumbi kumbi Nilale bila chandarua Kumbe mbu nang’ata Si ulinikung’uta mavumbi Nilipo omba nyingi dua Ukaniondolea mashaka Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee Japo ni ngumu ka imenikwama miiba Maana kwa ndani ndani bado inanichoma Na maumivu huwezi yasikia Nayasikia mwenyewe tu Na hali ya upweke sio kawaida Najua dhahiri kuwa na kinyima amani Stress ingekuwa kilevi Ndio kulala na viatu Jua mwana ukiyataka ndo mwana kuyapata Mungu hamnyimi mja wake Usinung’unike kwa utakacho kipata Maana ndo unachotafuta Umekuwa gari la taka, haunaga tabaka Umekosa hadhi ya mwanamke Tulia yakufuate magari bovu Ndo kutwa ukafuata fuata wee Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Nimekubali Written by Ibraah Produced by Kapipo Directed by Hanscana ©2020 KONDE MUSIC WORLDWIDE Connect with Ibraah on 🤍 🤍 🤍 #IBRAAH #NIMEKUBALI #KONDEMUSICWORLDWIDE #KONDEGANG

Ibraah Ft Harmonize - Addiction (Official Video)

1321050
28844
2317
00:03:49
21.12.2021

Addiction is a Amapiano song that talks about alcohol, some use it to relieves stress and some overdo it and find themselves doing the wrong thing. Download and Stream on all Digital Platforms : 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Addiction #Harmonize

Ibraah - Aya (Official Audio)

85578
2799
213
00:03:57
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Aya #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Hayakuhusu (Official Audio)

1410146
32909
11746
00:02:46
13.04.2021

Download and Stream on all Digital Platforms Link Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah Youtube: 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Hayakuhusu #Kondegang

Ibraah - Mapenzi (Official Music Video)

2063475
32881
3935
00:03:23
06.04.2021

Karata 3 is a project composed of three songs, Mapenzi, Upande Featuring Skales (Nigerian), and Nimpende. Mapenzi is a Swahili Word in English Means Love. On this song ibraah tries to tell us that there’s things to tolerate but not love because love hurts, you can love someone and that person you love has someone else who loves him/her. Audio Produced by Mr Simon Video was Directed by Joma from RedShot Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. Lyrics No uuuh oooh aaaah uuuuh ooooh aaaah Mr Simon Hayaa aaah yeee eeeh Verse 1 Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia na siku zinakwenda aaaaah na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear haya mapenzi mwana kwenda aaaaah no oooh ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video usione mtu analiaga ukadhani ni utoto mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Verse 2 Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo na ukikosa unachopenda utapagawa bure hata ufanye matambiko na na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke Yako ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo maana mapenzi hayana mwenyewe aaaaah unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo ukajihisi una mkosi weeewe aaah huuu oooh aaah, ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh! Chorus Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi Ibraah Konde Music worldwide Mr Simon For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Mapenzi #Karata3

Ibraah - Nani (Official Music Video) Sms SKIZA 5430576 to 811

3172036
44294
4394
00:03:46
01.06.2020

#Ibraah #Nani #KondeGang LYRICS Hmm yeah Hmmmmm yeah Asubuhi kumekucha Wingu limetanda Na mvua yata kunyesha Na uko mbali mama Maji takitiririka Oh baridi itanishika We ndo chanda chema uhakika unanikatisha tamaa Utaambiwa binadamu Ah kila mmoja ana mapungufu yake Sijui nilipoteleza mama, si ungeniambia Nimemiss tabasamu, kutwa kucha picha kummezea mate Yangu fimbo umeibeza, ah katu hautaki kuitumia Labda hesabu za kutoa mi niligawanya baby unisamehe Na ile hasi nikafanya chanya baby unisamehe Na hata emoji za kulia nazo kutumia nazo zikome Japo nipate furaha, ah huruma unionee Maana hii hali, hata haifichiki Kutwa wima cha mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah huwa naitamani kama si wewe Nitampenda nani (x6) Nani nitampenda aah Eh penzi usifanye kwa chombo cha usafiri Ikawa umeshuka uje utanikatili Nitakuwaga mental Niko dhahari, si unasikia Penzi la dhati daima la wawili We fanya na urudi lisiwe batili Ka wafanya kusudi ni ukatili mi naumia We ndo yangu hifadhi labda nilikosea msimbo Kweli kupenda kazi wangu umegeuka fimbo Mi ndo lako koroboi Lile lisilo zima Aha si ulisemaga hauchomoi Kumbe imani ulinipima ah Pia ulisema haudonoi Wameiteka mazima Ahaa simungunyi sikohoi Sina vyangu nimechina Maana hii hali, hata haifichiki Kutwa wima cha mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah huwa naitamani kama si wewe Nitampenda nani (x6) Nani nitampenda aah Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420

Ibraah - Kusudi (Official Audio)

89946
2636
222
00:03:34
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Kusudi #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Maumivu (Official Audio)

137337
4656
430
00:03:49
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Maumivu #TheKingOfNewSchool

Kinata Mc x Ibraah - Do Lemi Go (Official Music Video)

2431824
29879
3057
00:04:11
30.05.2021

Download and Stream on all Digital Platforms Link Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Kinatamc #DoLemiGo #Ibraah

Ibraah Ft Maud Elka - Tunapendana (Official Audio)

98120
3510
237
00:02:58
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #TheKingOfNewSchool #MaudElka

Ibraah - Usiku Mwema (Official Audio)

125073
5165
380
00:03:44
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #UsikuMwema #TheKingOfNewSchool

IBRAAH Aibua MAPYA "Sina MAZOEA na PAULA/ Nimemuona mara 2 Tu/Amkana MIRIAM ODEMBA

43714
1134
57
00:10:57
14.09.2022

........................................................... Contact Us : 0742447854 - Instagram 🤍 - Facebook 🤍 - Website 🤍rickmediatz.com - #Ibraah #Paula #MiriamOdemba

Ibraah ft Marioo - Nikwambie (Official Music Video)

22825
450
12
00:01:38
02.11.2022

Ibraah ft Marioo - Nikwambie (Official Music Video) #ibraah #harmonize

Ibraah - Wandoto (Official Music Video) Sms SKIZA 5430840 to 811

2285687
25411
1935
00:03:19
01.07.2020

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420

Cook with Wema Sepetu - S06E03 Ibrah

68559
2133
145
00:08:07
20.11.2022

Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii 🤍 ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii 🤍 Connect with me; Instagram - 🤍wemasepetu Twitter - 🤍wema_sepetu Click here 🤍 to Download Wema App on Playstore Click here 🤍 to Download Wema App on Appstore #CookWithWemaSepetu #WemaApp #Bestizzo

Ibraah - Kiti (Official Audio)

70508
2787
213
00:03:43
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Kiti #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Sitosema (Official Audio)

118131
3952
365
00:03:53
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Sitosema #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Nitachelewa Acoustic (Official Music Video)

962865
15789
1112
00:04:04
06.10.2020

#Nitachelewa is a Swahil words from tanzanian language, in English Means he will be late. In this song Ibraah Tell us how much he has been hurted by his truly girlfriend and he doesn't think if the pain will be recovered. this is why he called his song #Nitachelewa. Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Acoustic #KondeGang

Ibraah - Nimemuotea (Official Audio)

48335
1897
174
00:03:10
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Nimemuotea #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Sawa (Official Music Video)

1328581
25012
2888
00:03:20
25.04.2020

Sawa is a song written, and perfromed by new sensational Tanzanian artiste Ibraah from Konde Music Worldwide Record Label. It has been produced by hitmaker Bonga while visuals are by Hanscana and a cameo appearance by Konde Gang Boss, Harmonize. It’s Bonga (Oh nah nah nah nah nah aah) Asante Mungu Baba uliye mwema Nimeiona siku nyingine ya furaha Hali sio haba sio njema Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha Maana wazazi wananitegemea Na ninakaribia mi kuitwa Baba Nami ndunguzo waloegemea Sina kitu nimechalala nimevava Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu nisikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde, ni sawa eh! Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) Natapa tapa elimu sina Mi kusoma sijasoma Nami nasaka nijenge heshima #Ibraah #Sawa #KondeGang Mi nakoma ju wananichoma Ni wewe pekee ndo naye jua Ah mbele yangu na nyuma yangu Mie mpweke naomba dua Ah Baba fungua ridhiki zangu Nashukuru Baba, pumzi unayonipa Maisha naendelea Ila kingine Baba, nadhalilika Huu mzigo unanielemea Baba niwewe Baba (Ni wewe) Niwe ndo msaada (Ni wewe) Ni wewe, ni wewe Baba ni wewe Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu sikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Written by Ibraah Produced by Bonga Directed by Hanscana ©2020 KONDE MUSIC WORLDWIDE Connect with Ibraah on 🤍 🤍 🤍 #IBRAAH #SAWA #KONDEMUSICWORLDWIDE #KONDEGANG

BEST OF IBRAAH (KONDE GANG) NONSTOP MIX - DJ VAN 254 2022 LATEST BONGO MIX

22171
213
7
00:41:55
05.07.2022

Best of Ibraah latest songs Mixed and mastered by Dj van 254 #djvan #ibraah dj van 254 latest bongo mix

Ibraah: Nimelala kwenye stoo ya Konde Gang mwaka na miezi, hakuna mtu anajiamini kumzidi Harmonize

146970
2706
230
00:40:35
30.07.2022

Ibraah anafunguka historia yake na msoto aliopotia hadi kusainishwa na Harmonize kama msanii wa kwanza wa label ya Konde Music Worldwide #chillnasky

Ibraah - Utamu (Official Audio)

76369
3390
310
00:04:46
01.07.2022

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 Boomplay: 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420 #Ibraah #Utamu #TheKingOfNewSchool

Ibraah - Nimekubali Acoustic (Official Music Video)

419259
8323
712
00:03:54
21.04.2020

Download and Stream on all Digital Platforms Link 🤍 Nimekubali Written by Ibraah Produced by Kapipo Directed by Hanscana Subscribe for more official content from Ibraah: 🤍 Follow Ibraah Instagram: 🤍 Twitter: 🤍 Facebook: 🤍 Listen to Ibraah 🤍 Audiomack: 🤍 Apple Music : 🤍 Spotify : 🤍 The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Ibraahmanagement3🤍gmail.com Call: +255 718 712 420

IBRAAH MIKONONI MWA VUNJA BEI..? KUVUNJA MKATABA KONDE GANG.?

2889
104
8
00:05:27
17.11.2022

IBRAAH MIKONONI MWA VUNJA BEI..? KUVUNJA MKATABA KONDE GANG.?

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Ibraah 기분좋은 pergola ChiaSe соевый соус олександр коваленко ana wjeddi nouveau КТО ПЕРВЫЙ ОСВОБОДИТСЯ я плохой сосед 시범 paul soriano привидением сажа на свечах зажигания 容逸燊 Премьер министр Люксембурга Film Maker Реакція ЙОВІЧЕВІЧА на масовані обстріли України aakanksha Hindi movie köln gladbach ab exercises